IQNA-Maktaba na Makavazi ya Kitaifa ya Misri, inayojulikana kama Dar Al-Kutub, inahifadhi mkusanyiko wa kipekee wa hati za Qur’ani za kale na za kihistoria, baadhi yake zikiwa na zaidi ya miaka elfu moja.
Habari ID: 3480647 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/06
IQNA – Éléonore Cellard ni mtafiti wa Kifaransa na mtaalamu wa hati za nakala za Qur’an za kale..
Habari ID: 3480543 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/15
IQNA – Maktaba ya Kitaifa ya Tunisia imezindua maonyesho yanayochunguza ushawishi wa Qur'ani Tukufu huko Ulaya.
Habari ID: 3480228 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/16
Turathi za Kiislamu
IQNA – Wataalamu katika Maktaba, Jumba la Makumbusho, na Kituo cha Nyaraka cha Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Imam Ridha (AS) ambayo ni maarufu kama Astan Quds Razavi wamerekebisha kurasa 18,877 za nakala za Qur'ani au Misahafu na hati za kale katika kipindi cha miezi tisa iliyopita, amedokeza Seyyed Ali Tabatabai, mkuu wa urekebishaji wa nyaraka za kitamaduni katika shirika hilo.
Habari ID: 3480089 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/21
Turathi za Kiislamu
IQNA – Mkusanyiko wa misahafu adimu na hati za kale sasa umeonyeshwa katika maonesho ya "Kuhangaika Kusikika" katika Jumba la Sanaa la Cartwright Hall huko Bradford, yanayofanyika hadi Aprili 27.
Habari ID: 3480087 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/21
Turathi za Kiislamu
IQNA – Maonyesho ya kimataifa katika Haram ya Imam Ali (AS) huko Najaf yanaonyesha kazi za sanaa zaidi ya 300 kwa ajili ya kusherehekea kuzaliwa kwa imam huyo.
Habari ID: 3480042 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/12
Turathi za Kiislamu
IQNA - Mufti na naibu mufti wa Kyrgyzstan wameonyesha kuvutiwa kwao na turathi za kitamaduni na katika maonyesho huko Wilaya ya Utamaduni ya Hira huko Mecca.
Habari ID: 3479912 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/17
Turathi za Kiislamu
IQNA - Mji wa Samarra katika jimbo la Salah al-Din, katikati mwa Iraq, unakaribia kuitwa mji mkuu wa ustaarabu wa Kiislamu. Baraza la mawaziri la Iraq liliamua mnamo 2020 kuongeza hadhi ya Samarra kama mji mkuu wa kitamaduni wa ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3479753 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/15
Turathi za Kiislamu
IQNA Vioo vya rangi katika Msikiti wa Nasir-ul-Mulk - pia unaojulikana kama Msikiti wa Rangi ya Waridi - vinakarabatiwa, kulingana na afisa wa mkoa.
Habari ID: 3479398 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/08
Turathi za Kiislamu
IQNA – Msahafu wa kipekee wa zama za Uthmaniyya umeuzwa katika katika mnada wa turathi za Kiislamu jijini London, Uingereza.
Habari ID: 3478742 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/27
Turathi za Kiislamu
IQNA – Msahafu wa kipekee wa enzi za Uthmaniyya ni miongoni mwa bidhaa za sanaa za Kiislamu zitakazopigwa mnada Sotheby's London wiki hii.
Habari ID: 3478726 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/24
Turathi
IQNA - Maonyesho ya maandishi yaliyozinduliwa katika Jimbo la Al-Ahsa la Saudi Arabia yanajumuisha nakala adimu za maandishi ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478427 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/28
Turathi ya Kiislamu
IQNA - Idadi kadhaa ya maandishi ya Qur'ani Tukufu na Kiislamu yameonyeshwa katika maonyesho ya utamaduni wa Kiislamu huko Casablanca, Morocco.
Habari ID: 3478083 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/24
Turathi za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Jumba la Makumbusho la Benaki huko Ugiriki lina mkusanyiko wa kazi za sanaa zilizokusanywa zaidi ya karne 13, nyingi zikiwa na umuhimu maalum.
Habari ID: 3475501 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/14